LIVERPOOL HAOOO KOMBE LA LIGI, KUPAMBANA NA MAN CITY AU EVERTON
Shangwe....Mchezo ilichezwa dakika 120 na baadae mikwaju ya penati kuamua mshindi Dakika ya 45 kipindi cha kwanza Marko Arnautovic kaipatia bao Stoke na kwenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Liverpool.
No comments:
Post a Comment