Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

PAUL NONGA ATUA YANGA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI


Yanga imekamilisha dili baada ya kumsajili Paul Nonga kutoka Mwadui FC.

Nonga amesaini mkataba wa miaka miwili
Mchezaji mwingine ambaye Yanga imefanikiwa kumsainisha mkataba ni Mniger Issoufou Garba ambaye amepewa mkataba wa mwaka mmoja.

Endapo atafanikiwa kuwashawishi viongozi kwa kuonyesha kiwango kizuri, Garba anaweza kuongezewa mwaka mwingine.