Pages

Thursday, October 22, 2015

KEVIN DE BRUYNE ATOKEA BENCHI NA KUIPA USHINDI CITY DAKIKA ZA MAJERUHI MANCHESTER CITY 2-1 SEVILLA,UEFA CHAMPIONS


MAN CITY 2 SEVILLA 1
Wakicheza kwao Etihad Jijini Manchester, Man City walitoka nyuma kwa Bao 1 na kuishinda Sevilla ya Spain Bao 2-1 katika Mechi ya Kundi D la UCL.
Sevilla walitangulia kufunga Dakika ya 30 kwa Bao la Yevhen Konoplyanka na City kusawazisha Dakika ya 36 kwa Bao la kujifunga wenyewe la Adil Rami.
Bao la ushindi la Man City lilifungwa na Kevin de Bruyne katika Dakika ya 90 baada ya kupokea pande safi toka kwa Yaya Toure.Kevin De Bruyne aipa ushindi City dakika majeruhi City UshindiAkipongezwa na MenejaAlimpumzisha ToureBruyne akishangilia bao lake
Wilfried akishangiliaMbele ya Mashabiki wa CityYevhen ndie aliyewaanza City kuwafungaMpaka jikoni!City na shambulizi laoYevhen akiendesha mpiramhh!Kikosi cha Man CityMashabiki Sterling kabla ya kipute akipasha

No comments:

Post a Comment