Pongezi!Jose akibaki mdomo wazi hii leo baada ya kuchapwa bao 3-1 na LiverpoolPhilippe Coutinho akiifungia bao la pili Liverpool na kufanya 2-1, Bao la Chelsea lilifungwa mapema dakika ya 4 na Ramires nao Liverpool walifunguka na kuongeza mashambulizi na kupata bao mbili kupitia kwa Coutinho
dakika ya 45 kipindi cha kwanza na lile la dakika ya 74. Bao la tatu
lilifungwa na Christian Benteke aliyeingia kipindi cha pili na kuipa bao
la tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Wenyeji Chelsea na kwenye Uwanja wao
Stamford Bridge.2-11-1
VIKOSI:
Chelsea: Begovic, Zouma, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Ramires, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa.
Akiba: Amelia, Baba, Matic, Fabregas, Kenedy, Falcao, Remy.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Lucas, Can, Milner, Lallana, Coutinho, Firmino.
Akiba: Bogdan, Lovren, Benteke, Allen, Ibe, Teixeira, Randall.
Refa: Mark Clattenburg

No comments:
Post a Comment