Pages

Wednesday, October 21, 2015

GIROUD NA OZIL WATEMBEZA KICHAPO BAYERN EMIRATES DAKIKA ZA MWISHONI KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE,WENGER ROHO KWATU

2-0Ozil akishangilia bao lake la dakika za majeruhi!Olivier Giroud dakika ya 77 aliipatia Arsenal bao na kufanya 1-0 dhidi ya Bayern Munich. Dakika ya 90 kwenye muda wa lala salama  Arsenal waliongeza kasi na kuweza kupata bao na mtanange kumalizika 2-0, Bao likifungwa na Mesut Ozil.Alama tatu muhimu!Petr Cech akiokoa langoni mwakeTheo Walcott akijishangaa Kipa wa Bayern Munich Neuer akiokoa shuti langoni mwake katika kipindi cha kwanza kilichomalizika 0-0 dhidi ya Arsenal. 
Kipindi cha pili dakika ya 55 Ramsey aliumia na nafasi yake imechukuliwa na Alex Oxlade-Chamberlain
VIKOSI:
Arsenal starting XI: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Ramsey, Coquelin, Cazorla, Ozil, Walcott, Sanchez
Bayern Munich starting XI: Neuer, Boateng, Bernat, Lahm, Alaba, Alcantara, Costa, Alonso, Vidal, Lewandowski, Muller
Nje ya Uwanja wa Emirates usiku huu kabla ya kipute Arsenal v Bayern Munich

No comments:

Post a Comment