Eden Hazard alishindwa kuamini macho yake baada ya kukosa mkwaju wa penati uliopanguliwa na kipa wa Stoke City.Loic Remy akiisaidia Chelsea kusawazisha kwa kufanya 1-1 na mtanange kwenda dakika 1201-0
Jonathan Walters akiifunga Chelsea dakika ya 52 kipindi cha pili,
katika dakika za majeruhi Loic Remy ameisawazishia Chelsea bao na
kufanya 1-1 na mpira kwendelea katika dakika za ziada 30 kwenye Uwanja
wa Britannia Stadium huku Stoke wakiwa pungufu 10 uwanjani baada ya
mwenzao Phillip Bardsley kupata kadi nyekundu dakika ya 90.Hali tete!!Diego Costa aumia na kutolewa nje
VIKOSI:
Chelsea starting XI
Begovic, Zouma, Cahill, Terry, Baba, Ramires, Mikel, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa.
Stoke City starting XI
Stoke City starting XI
Butland, Bardsley, Shawcross, Wollscheid, Muniesa, Whelan, Adam, Afellay, Arnautovic, Diouf, Walters.

No comments:
Post a Comment