Joao alipofanya 2-03-0Ushindi!!3-0!!!Raha tupu kwa Meneja wa SheffiedMeneja wa Arsenal, Arsene Wenger akichanganyikiwa kwa kichapoShangwe kwa MashabikiSheffield
Wednesday 3, Arsenal 0. Sam Hutchinson anaiwezesha timu yake bao la
tatu kipindi cha pili dakika ya 51 na kuwafanya Arsenal waduwae na
kujiuliza kwenye uwanja wa Hillsborough, EnglandRoss
Wallace wa (Sheffield Wednesday) anaipatia bao la kuongoza katika
dakika ya 27, Dakika ya 40 Lucas João alipachika bao la pili kwa kichwa
mpira ukipigwa kwa kona na kupeana pasi kisha na kupiga kwa juu na Joao
kufunga bao na kufanya 2-0 dhidi ya Arsenal. Nyumba imeungua!!Raha ya bao!!Kipa wa Arsenal Petr CechNi shida!Wachezaji
wawili wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain na Theo Walcott wameumia na
kulazimika kutolewa nje mapema kipindi cha kwanza na timu ya Sheffied
kupata mwanya wa kupata bao.Theo nae yale yale!!VIKOSI:
Arsenal starting XI
Cech, Debuchy, Chambers, Mertesacker, Gibbs, Flamini, Kamara, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Iwobi, Giroud.
Arsenal starting XI
Cech, Debuchy, Chambers, Mertesacker, Gibbs, Flamini, Kamara, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Iwobi, Giroud.
No comments:
Post a Comment