Pages

Wednesday, September 16, 2015

MANCHESTER UNITED ILIVYOCHAPWA NA PSV 2-1 UEFA CHAMPIONS LEAGUE UGENINI, LUKE SHAW AUMIA

Viongozi wa Man United, katikati ni Meneja Van GaalKipa David De Gea akipagawaNi shida!! martial alicheza dakika 90 lakini hakuweza kufunga bao2-1Raha ya ushindiWenyeji PSV Eindhoven walitoka nyuma kwa Bao 1 na kuichapa Man United Bao 2-1 katika Mechi ya kwanza yak UNDI B la UEFA CHAMPIONS LIGI.1-0Depay akishangilia bao lakeMan United walipata pigo baada ya Fulbeki wao Luke Shaw kuumizwa vibaya na Hector Moreno katika Dakika ya 15 alietolewa nje kwa Machela baada ya kuhudumiwa Uwanjani kwa Dakika 10 ikidhaniwa amevunjika Enka yake ya Kulia na nafasi yake kushikwa na Marcos Rojo.
Man United walifunga Bao lao kupitia Memphis Depay, Mchezaji alietoka PSV, katika Dakika ya na Hector Moreno kusawazisha kwa Kichwa katika Dakika ya 45.
Hadi Mapumziko, PSV 1 Man United 1.
Kipindi cha Pili, PSV, ambao waliwatawaliwa mno, walifunga Bao lao la ushindi katika Dakika ya 57 tena kwa Kichwa na Luciano Narsingh katika Dakika ya 57.
Chini akijiuguza Luke ShawMpaka chiniLuke Shaw alivyoingiliwa na kuumizwa goti lake Kikosi cha Man United
PSV:
Zoet, Arias, Bruma, Moreno, Brenet, Narsingh, Propper, Hendrix, Guardado, Lestienne, De Jong.
Subs: Pasveer, Pereiro, Schaars, Poulsen, Locadia, Vloet, De Wijs.

Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Schweinsteiger, Ander Herrera, Young, Mata, Depay, Martial.
Subs: Romero, Rojo, Carrick, Valencia, Fellaini, Schneiderlin, McNair.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)

No comments:

Post a Comment