Pages

Friday, September 18, 2015

LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 1-1 UGENINI NA BORDEAUX FC KWENYE UEFA EUROPA LEAGUE


Kipa wa Bordeaux akifungwa na Adam Lallana

Lallana akishangilia baada ya kuifunga bao Bordeaux

Lallana akipongezwa na wenzake
Jussieakimfunga kipa wa Liverpool  Simon Mignolet
Mchezaji wa Bordeaux Jussie akipongezwa na  Diego Rolan
Adam Lallana dakika ya 65 kipindi cha pili aliipatia bao Liverpool, Bordeaux walisawazisha kupitia kwa Jussie aliyetokea benchi na kuifungia bao dakika ya 81 na kufanya mpira umalizike dakika 90 kwa sare ya 1-1.

No comments:

Post a Comment