Pages

Thursday, September 17, 2015

LIVERPOOL NA SPURS DIMBANI MAKUNDI LEO UEFA EUROPA LEAGUE

MECHI za Makundi ya UEFA EUROPA LIGI zinaanza leo Septemba 17 na England inawakilishwa na Liverpool na Tottenham ambazo zinaanzia hatua hii.
Awali West Ham na Southampton zilishiriki lakini zikatupwa nje kwenye Raundi za awali za Mchujo.
Mechi hizi za Makundi 12 ya Timu 4 kila moja zitaanza Septemba 17 na kumalizika Desemba 10.
Alhamisi Usiku, Liverpool, ambao wako Kundi B, watakuwa Ugenini huko France kucheza na Bordeaux wakati Tottenham, walio Kundi J, wako kwao White Hart Lane kuivaa Klabu ya Azerbaijan, Qarabağ.

Miongoni mwa Mechi za mvuto hiyo Alhamisi ni ile ya Kundi A itakayochezwa huko Amsterdam kati ya Ajax na Celtic.

UEFA EUROPA LIGI
Alhamisi Septemba 17

KUNDI A
20:00 Ajax v Celtic
20:00 Fenerbahçe v Molde

KUNDI B
20:00 Bordeaux v Liverpool
20:00 FC Sion v Rubin Kazan

KUNDI C
2000 Borussia Dortmund v FK Krasnodar
2000 FK Qabala v PAOK Salonika

KUNDI D
2000 FC Midtjylland v Legia Warsaw
200 Napoli v Club Brugge

KUNDI E
20:00 SK Rapid Vienna v Villarreal
20:00 Viktoria Plzen v Dinamo Minsk

KUNDI F
20:00 FC Groningen v Marseille
20:00 Slovan Liberec v Sporting Braga

KUNDI G
2205 Dnipro Dnipropetrovsk v Lazio
2205 St Etienne v Rosenborg

KUNDI H
205 Skenderbeu Korce v Besiktas
2205 Sporting v Lokomotiv Moscow

KUNDI I
2205 Fiorentina v FC Basel
2205 Lech Poznan v Belenenses

KUNDI J
2205 Anderlecht v Monaco
2205 Tottenham v FK Qarabag

KUNDI K
2205 Apoel Nicosia v Schalke
2205 Asteras Tripolis v Sparta Prague


KUNDI L
2205 Athletic Bilbao v FC Augsburg
2205 Partizan Belgrade v AZ Alkmaar

MAKUNDI
Safari ya Fainali huko Basel, Uswisi:
Mechidei 1:
17 Septemba
Mechidei 2: 1 Oktoba
Mechidei 3: 22 Oktoba
Mechidei 4: 5 Novemba
Mechidei 5: 26 Novemba
Mechidei 6: 10 Desemba

KALENDA
Raundi ya Timu 32-Droo: 14 Desemba, Nyon
Raundi ya Timu 32-Mechi ya Kwanza: 18 Februari
Raundi ya Timu 32-Mechi ya Pili: 25 Februari
Raundi ya Timu 16-Droo: 26 Februari, Nyon
Raundi ya Timu 16-Mechi ya Kwanza: 10 Machi
Raundi ya Timu 16-Mechi ya Pili: 17 Machi
Robo Fainali-Droo: 18 Machi, Nyon
Robo Fainali-Mechi ya Kwanza: 7 Aprili
Robo Fainali-Mechi ya Pili: 14 Aprili
Nusu Fainali-Droo: 15 Aprili
Nusu Fainali-Mechi ya Kwanza: 28 Aprili
Nusu Fainali-Mechi ya Pili: 5 Mei
Fainali: 18 Mei, St. Jakob-Park, Basel, Uswisi

No comments:

Post a Comment