Pages

Thursday, September 17, 2015

ARSENAL ILIVYOLALA 2-1 KWA DINAMO ZAGREB KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE, GIROUD AONESHWA KADI NYEKUNDU

Junior Fernandes dakika ya 58 aliiongezea bao la pili kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira wa kona na kufanya 2-0. Arsenal walizinduka na dakika ya 79 Theo Walcott aliwafungia bao la kwanza baada ya kuwazidi ujanja wa mbio mabeki wa Dinamo Zagreb na mtanange kumalizika kwa 2-1. Mtanange huu Arsenal walipata pigo pale mchezaji wao Giroud alipooneswa kadi nyekundu na kuifanya timu kucheza pungufu 10 Uwanjani.Bao la Dinamo Zagreb ni la kujifunga kupitia kwa Alex Oxlade-Chamberlain kipindi cha kwanza dakika ya 24. Olivier Giroud katupwa nje kwa kuoneshwa kadi nyekundu
VIKOSI:
Dinamo Zagreb: Eduardo, Ivo Pinto, Sigali, Taravel, Pivaric, Soudani, Paulo Machado, Ademi, Antolic, Fernandes, Pjaca.
Akiba: Jezina, Henriquez, Hodzic, Coric, Benkovic, Rog, Matel.

Arsenal: Ospina, Debuchy, Gabriel, Koscielny, Gibbs, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Arteta, Sanchez, Ozil, Giroud.
Akiba: Cech, Walcott, Monreal, Flamini, Chambers, Campbell, Coquelin.
Referee: Ovidiu Alin Hategan (Romania)

No comments:

Post a Comment