Pages

Tuesday, September 22, 2015

CAPITAL ONE CUP: LEO SUNDERLAND vs CITY, JUMATANO SPURS vs ARSENAL, MAN UNITED vs IPSWICH, LIVERPOOL vs CARLISLE, WALSALL vs CHELSEA

RAUNDI ya 3 ya Kombe la Ligi, sasa huitwa CAPITAL ONE CUP, itarindima Jumanne na Jumatano huko England nah ii ndio Raundi ambayo Vigogo wa Ligi Kuu England huanzia. Ingawa baadhi ya Timu za Ligi Kuu England zilianza Raundi ya Pili, wale Vigogo, wakiwemo Mabingwa Watetezi, huanzia Raundi ya 3.
Jumanne zipo Mechi 16 za Raundi hii na Jumanne zipo 8 na baadhi yao ni ile Dabi ya Jiji la Birmingham kati ya Aston Villa na Birmingham City.
Pia upo mtanange wa Timu za Ligi Kuu England huko Stadium of Light kati ya Sunderland na Man City.
Jumatano Mabingwa Watetezi Chelsea wao watakuwa Ugenini kucheza na Timu ya Daraja la chini Walsall wakati Liverpool wako kwao Anfield kucheza na Carlisle.
Huko Old Trafford, Man United wataivaa Ipswish Town.


CAPITAL ONE CUP
Raundi ya 3
Jumanne Septemba 22

21:45 Aston Villa v Birmingham
21:45 Fulham v Stoke
21:45 Hull v Swansea
21:45 Leicester v West Ham
21:45 Middlesbrough v Wolves
21:45 Preston v Bournemouth
21:45 Sunderland v Man City
22:00 Reading v Everton
Jumatano Septemba 23

21:45 Crystal Palace v Charlton
21:45 MK Dons v Southampton
21:45 Newcastle v Sheff Wed
21:45 Norwich v West Brom
21:45 Tottenham v Arsenal
21:45 Walsall v Chelsea
22:00 Liverpool v Carlisle
22:00 Man United v Ipswich

No comments:

Post a Comment