Pages

Thursday, August 20, 2015

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.
James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Kikosi cha timu ya Himo fc.
James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc.


Kikosi cha timu ya Wazalendo fc.
Heka heka zikiendelea uwanjani.
James Mbatia akizungumza wakati wa fainali hiyo kaba ya kukabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo.
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0.

Mh Mbatia akikabidhi vyeti kwa waratibu wa mashindano hayo .
Mh Mbatia akikabidhi zawadi kwa msaidizi wake ,Hamisi Athumani kwa kufanikisha mashindano hayo.
Waratibu wa mashindano wakiwa katika picha ya pamoja na Mh Mbatia.
Kikundi cha sarakasi kikionesha umahiri katika kucheza sarakasi katika fainali hizo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment