Rais wa Shirikiso la Mpira
wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi ameteua Kamati ya ushauri ya Ligi Kuu (VPL)
na ligi Daraja la Kwanza (FDL) nchini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ni
Alhaj Ahmed Mgoyi na katibu wa Kamati ni mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi nchini
(TPLB) na wajumbe wengine saba.
1. Alhaji Ahmed Idd Mgoyi (Mwenyekiti)
2. Boniface Wambura (Katibu)
3. Kennedy Mwaisabula- Mjumbe
4. Idd Mshangama- Mjumbe
5. Amiri Mhando- Mjumbe
6. Grace Hoka- Mjumbe
7. Ibrahim Kaude (Vodacom)- Mjumbe
8. Baruan Muhuza (Azam Media)- Mjumbe
9. Peter Simon- Mjumbe
Kazi za kamati hiyo zitakua ni:
(i) Kufuatilia mwenendo wa Ligi
(ii) Kuishauri Bodi/TFF namna ya kuboresha Ligi
(iii) Masoko
(iv) Leseni za Vilabu (Club
Licensing)
(v) Mipango ya Maendeleo
ya Vilabu
(vi) Viwanja vya mazoezi
(vii) Utoaji wa tuzo za ligi mbalimbali
(viii) Kutengeneza vigezo (criteria)
vya washindi wa tuzo
No comments:
Post a Comment