Pages

Wednesday, July 15, 2015

ROBIN VAN PERSIE ATAMBULISHWA MBELE YA MSHABIKI WA KLABU YA FENERBAHCE

Van Persie alipotambulishwa leo hii RVP akiwapungia Mashabiki mikonoMashabiki wakisalimiana na Van Persie leo wakati wa Utambulisho wake akitokea Manchester UnitedKaribu sana Van Pesie!
Van Persie, Mwenye Miaka 31 na Nahodha wa Netherlands, ametambulishwa rasmi hii Leo mbele ya Mashabiki 10,000 walioshangilia sana.
Van Persie alikaa Miaka Mitatu Man United baada ya kujiunga nao kutoka Arsenal na kuwasaidia kutwaa Ubingwa Msimu wa 2012/13, alipoifungia Bao 26 na kufuunga jumla ya Mabao 58 katika kipindi chake chote hicho.
Fenerbahce, ambao walimaliza Nafasi ya Pili kwenye Ligi Kuu ya Uturuki, wamesaini Wachezaji Wawili kutoka Man United katika kipindi mwingine akiwa Nani.

Van Persie akifanya yake!

No comments:

Post a Comment