Pages

Friday, July 17, 2015

MABONDIA WA KIKE KUZIDUNDA KESHO



Promota Stamili Mtengwa (katikati) na mabondia Mwanne Haji (kushoto) na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Friends Corner  Manzese Dar es salaam
Mabondia Mwanne Haji na Lulu Kayage wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Iddi Mosi Katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam
Bondia Lulu Kayage akipimwa afya na Dakitari Michael Madadidi

Promota Stamili Mtengwa (katikati)  na mabondia Habibu Pengo (kushoto) na Yonas Segu

Bondia Mwanne Haji akipimwa Afya

No comments:

Post a Comment