Pages

Friday, July 10, 2015

KIUNGO WA BIRMINGHAM YA ENGLAND AANZA MAJARIBIO AZAM FC


  Kiungo Mwingereza ameanza majaribio ya kuwania kusajiliwa Azam FC.

Ryan Burge ameanza majaribio leo na kikosi cha Azam FC chini ya Mwingereza Stewart Hall.

Burge anatokea katika klabu ya Birmingham ya England, hali ilivyo inaonekana Azam FC, itamsajili.
Alionekana akiwa na wenzake leo kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam akipambana kuwania nafasi hiyo ya kusajiliwa.
KWA HISANI SALEH JEMBE

No comments:

Post a Comment