Pages

Wednesday, July 1, 2015

CHILE KUCHEZA FAINALI NA PARAGUAY BAADA YA KUIFUNGA PERU BAO 2-1 COPA AMERICA

Vargas akishangilia bao lake la UshindiEduardo Vargas akishangilia bao lakeKadi nyekundu mwamuzi akimwonesha Zambrano wa Peru
Eduardo Vargas na wenzake wakishangilia kwenda Fainali Copa America baada ya wapinzani wao kusawazisha na Vargas kufunga bao la ushindi ndani ya dakika 4 tangu wasawazishe. Huku wapinzani wao wakicheza pungufu Uwanjani.

No comments:

Post a Comment