Pages
(Move to ...)
Home
▼
Friday, July 17, 2015
BANZA STONE AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki wa muziki wa dansi aliyepata kushika chati za juu katika utunzi na uimbaji katika bendi mbalimbali za muziki wa Dansi, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' amefariki dunia hii leo mchana nyumbani kwao Sinza Kijiweni Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment