Pages

Tuesday, June 23, 2015

KLABU YA MANCHESTER UNITED YAPANIA KUSAJILI BASTIAN SCHWEINSTEIGER NA SERGIO RAMOS


Kiungo wa kati wa Bayern Bastian Schweinsteiger
Klabu ya Manchester United ina hamu ya kumsajili kiungo wa kati wa Bayern Bastian Schweinsteiger na mlinzi wa Real Madrid Sergio Ramos.
Kocha wa klabu hiyo Louis Van Gaal anajaribu kuimarisha kikosi chake baada ya kumaliza katika nafasi nne katika jedwali la ligi ya EPL.

Schweinsteiger mwenye umri wa miaka 30 na Ramos mwenye umri wa miaka 29 ni kati ya wale wanaomvutia.
Kandarasi ya Ramos itakamilika mwaka 2017 huku ile ya Schweinsteiger ikiendelea hadi mwisho wa mwaka 2016.

Sergio Ramos nae anatakiwa Man UnitedWakati huo huo Uhamisho wa Kipa De Gea kwenda Real Madrid umeiongia kwenye sura mpya baada ya Klabu ya Man United kudai "wanamhitaji na wao ili wamtoe Sergio

No comments:

Post a Comment