KLABU YA MAN UNITED BADO IPO JUU KIMAPATO IKIFUATIWA NA CITY, CHELSEA NA ARSENAL
Mahesabu hayo yametolewa na Magwiji wa ushauri wa Kifedha Duniani, Deloitte, ambao wamesema Man United ipo juu kwa kuvuna Pauni Milioni 433.2 kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014.
Deloitte imesema Klabu zilizopiga hatua kubwa katika kipindi hicho ni Everton, Aston Villa na Chelsea lakini Man United imeendelea kuwa juu.
LISTI YA MAPATO 2013/2014:
Man United £433.2m Man City £348.3m
Chelsea £324.4m
Arsenal £300.5m
Liverpool £255.8m
Tottenham £180.5m
Newcastle £129.7m
Everton £120.5m
West Ham £116.5m
Aston Villa £111.2m
Southampton £106.1m
Sunderland £104.4m
Swansea £98.7m
Stoke £98.3m
Norwich £94.4m
Fulham £92.1m
Crystal Palace £90.4m
West Brom £86.8m
Hull £84.5m
Cardiff £83.1m
Post a Comment