Na Mwandishi Wetu
MJINI wa Bagamoyo unatarajia kuona pambano kali wa masumbwi utakaowakutanisha
Mfaume Mfaume wa Manzese pamoja na Adam Ngange wa Chanika utafanyika katika ukumbi wa TASUBA, June 14 ambapo watasindikizwa
na mipambano mingine mikali siku hiyo
Bondia
Iddi Pialali atapambana na Sweet Kalulu wakati
Raymond Mbwago atapambana na Haridi Hongo na Ramadhani Sebe atakabiliana
na Said Kassim mpambano mwingine utakuwa ni kati ya bondia Abdalla
Pazi' Mfalme wa wazalamu' atakae pambana na Haridi Van Dame' wa Kawe
Pia kutakuwepo na burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo msanii
Jumanne Iddi na Sam wa ukweli watapamba mchezo huo wa
masumbwi
No comments:
Post a Comment