Pages

Monday, June 1, 2015

ARSENAL WATEMBEZA KOMBE LAO LA 12 la FA MTAANI

Wakiwa kwenye basi la wazi kutembeza kombe la FA kwenye mitaa, Ni Kombe lao kutwaa kwa mara ya 12Mashabiki walijitokeza kwa wingi wakati Palade  hiyo ya Kombe la FA walilotwaa jana baada ya kuifunga Aston Villa bao 4-0.Jack W. na Theo WalcottShabiki akiwachungulia wenzake Gunners!Per Mertesacker na Olivier GiroudMzee Wenger akionesha Mwali wake wa 12!Wachezaji wa Arsenal wakiwa kwenye Jengo la Islington Town HallKwenye Picha ya pamojaThanks to you Our 12th  MANJack na Danny WelbeckZamu yetu sasa!Flamini akiwa na Mwali wa FA CupShangwe za Ubingwa 2015!Nje ya Uwanja wa Emirates

No comments:

Post a Comment