Pages

Wednesday, May 27, 2015

SALUM KANONI AACHANA NA UKAPERA


Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni naye ameachana na ukapera baada ya kuvuta jiko.


Kanoni aliyewahi kuichezea Simba, amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, sasa ni mume wa mtu
Kwa hisani ya Salehe Jembe Blog

No comments:

Post a Comment