Pages

Wednesday, May 27, 2015

KIPA WA JKT, JACKSON CHOVE AUAGA UKAPERA

Kipa wa JKT Ruvu, Jackson Chove ameamua kuuacha ukapera baada ya kufunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake wa siku nyingi.

Chove aliyewahi kuzidakia Yanga na Azam FC ameamua kukata mzizi wa fitna kwa kumuoa Mariam Said.


Shughuli nzima ilifanyika Mabagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na sasa Chove hayumo tena katika kundi hilo la makapera.
Kwa hisani ya Saleh blog

No comments:

Post a Comment