Pages

Wednesday, February 4, 2015

YANGA KUJIULIZA KWA COASTAL UNION MKWAKWANI LEO

YANGA leo wanatinga ndani ya Mkwakwani kucheza na Wenyeji wao Coastal Union kwenye Mechi peke ya Ligi Kuu Vodacom ambayo ushindi kwa Yanga utawasimika kuwa Vinara wa Ligi.
Mechi hii ni kiporo baada ya kuahirishwa kuchezwa Januari 10 kutokana na ushiriki wa Yanga kwenye Mapinduzi Cup huko Zanzibar.
Hivi sasa Yanga wako Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 19, Pointi 1 nyuma ya Vinara Azam FC huku Timu zote zimecheza Mechi 11.
Coastal Union wako Nafasi ya 7 wakiwa na Pointi17 baada ya kucheza Mechi 12.

RATIBA:
Jumatano Februari 4

Coastal Union v Yanga
 

Jumamosi Februari 7
Polisi Moro v Azam FC
Ndanda FC v Stand United
Kagera Sugar v Mgambo JKT
Prisons v Ruvu Shootings
JKT Ruvu v Mbeya City
Coastal Union v Simba

Jumapili Februari 8
Yanga v Mtibwa Sugar



MSIMAMON ULIVYO KWASASA:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
GD
PTS
1
Azam FC
11
6
3
2
15
8
7
21
2
Yanga
11
5
4
2
12
7
5
19
3
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
6
18
4
Polisi Moro
13
4
6
3
10
9
1
18
5
JKT Ruvu
13
5
3
5
13
13
0
18
6
Ruvu Shooting
13
5
3
5
9
10
-1
18
7
Coastal Union
12
4
5
3
10
8
2
17
8
Simba
12
3
7
2
13
11
2
16
9
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
-1
15
10
Mbeya City
12
4
3
5
8
10
-2
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
-4
14
12
Ndanda FC
13
4
2
7
12
17
-5
14
13
Stand United
13
2
5
6
8
16
-8
11
14
Tanzania Prisons
12
1
7
4
9
11
-2
10

No comments:

Post a Comment