Pages

Wednesday, February 4, 2015

NEYMAR, RAIS WA BARCA, JOSEP MARIA BARTOMEU AFIISHWA MAHAKAMANI

Rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu, ameburutwa Mahakamani kwa madai ya ukwepaji Kodi unaohusu Uhamisho wa Neymar kutoka Santos ya Brazil kuhamia Barcelona.
Inadaiwa Bartomeu na Klabu ya Barca ilikwepa kulipa Kodi ya Pauni Milioni 2.1 inayohusu Uhamisho wa Neymar.

Rais Bartomeu ametakiwa kutinga Mahakamani Februari 13 kwa Jaji ambae pia anasikiliza Kesi inayomhusu Rais wa zamani wa Barca, Sandro Rosell, anaedaiwa kutakatisha Fedha zinazohusu Uhamisho huo huo wa Neymar.
Neymar

No comments:

Post a Comment