Jumamosi, wakicheza huko Liberty Stadium, Man United
waliongoza Bao 1-0 lakini wakairuhusu Swansea kuwachapa Bao 2-1 kikiwa
ni kipigo chao cha pili katika Mechi 20 zilizopita chini ya Meneja Louis
van Gaal.
Ingawa bado zipo Mechi 12 hadi Msimu wa Ligi Kuu England kunamalizika, lakini Mechi zao 7 baada ya Sunderland Jumamosi hii ni dhidi ya Tottenham na Liverpool, zinazowania 4 Bora kama wao, pia dhidi ya Manchester City na Chelsea ambazo ndizo ziko kwenye mbio za Ubingwa Msimu huu na pia dhidi ya Everton inayozidi kuimarika baada ya kuyumba.
Hali hiyo imemfanya Kepteni Wayne Rooney kupiga Mbiu ya Mgambo kwamba ushindi Jumamosi hii inayokuja dhidi ya Sunderland Uwanjani Old Trafford ni kitu cha lazima.
Kepteni Rooney ametamka: “Tunahitaji kulipa Mechi ijayo. Ni Gemu ambayo ushindi ni lazima. Tunatakiwa kushinda ili turudi kwenye reli na kuanza mbio nyingine za ushindi tumalize 4 Bora!”Luis Van Gaal akitoka Uwanjani baada ya kubamizwa bao 2-1 na Swansea City Wachezaji wa Swansea City wakishangilia baada ya kuibamiza United hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment