Pages

Sunday, February 1, 2015

FULL TIME: CHELSEA 1 vs 1 MANCHESTER CITY, LOIC REMY AWEKEWA NGUMU NA DAVID SILVA MTANANGE UKIMALIZIKA SARE!

Loïc Remy dakika ya 41 aliipa bao Cheksea baada ya kupata ushirikiano safi wa pasi kutoka kwa Eden Hazard. Nao Manchester City walilishambulia lango la Chelsea na dakika ya 45 mwishoni mwa kipindi cha kwanza David Silva aliisawazishia bao na kufanya 1-1. SARE hii imewabakisha Chelsea kileleni wakiwa na pointi 53 na Manchester City wakibakia nafasi ya pili wakiwa na pointi 48.Loïc Remy akibanwa..Lampard akisalimia Mashabiki baada ya kurudi kwenye Uwanja wake wa Zamani Chelsea...CHELSEA vs MANCHESTER CITY..........
VIKOSI:
Chelsea:
 Courtois, Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Oscar, Hazard, Remy
Akiba: Cech, Ake, Drogba, Cahill, Christensen, Loftus-Cheek, Brown
Manchester City: Hart, Sagna, Kompany, Demichelis, Clichy, Fernandinho, Fernando, Jesus Navas, Silva, Milner, Aguero
Man City Akiba: Zabaleta, Dzeko, Kolarov, Caballero, Lampard, Jovetic, Boyata 

No comments:

Post a Comment