Mfungaji wa bao la tatu Yannick Ferreira Carrasco. Kipa wa Arsenal David Ospina akiwa hoi baada ya kushonwa baoFuraha ya Ushindi Ugenini!! 3-1Kiongozi Prince Albert akishangilia Ushindi mwishoniOlivier Giroud akiwa hana hamu na kipute!
Hoi!! Hakuna cha Sanchez!!2-1Alex Oxlade akishangilia baada ya kurudisha bao moja Baadhi ya Wachezaji wa Arsenal wakipagawa baada ya kufungwa na As Monaco
Kipindi cha pili dakika ya 53 Dimitar Berbatov aliwachoma bao la pili Arsenal na kufanya 2-0 dhidi ya Arsenal. Dakika ya 90, Alex Oxlade-Chamberlain aliwapachika bao la pekee lakini Yannick Ferreira Carrasco aliyeingia kipindi cha pili alimaliza mchezo kwa kufunga bao la tatu na kufanya 3-1 hadi mchezo kumalizika.
Geoffrey Kondogbia salamu salaam akituma!!Arsenal hoi!!Kimagumashi tuu As Monaco wameichakaza Arsenal kwao!Geoffrey Kondogbia akishangilia bao lake baada ya kuichapa bao Arsenal katika dakika ya 38.
Prince Albert nae alikuwemo kipenzi cha Monaco..kwenye uwanja wa Emirates usiku huu!
Mashabiki walisafiri kuja kuipa kampani ya Nguvu timu yao As Monaco kwenye Uwanja wa Emirates!!
VIKOSI:
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Coquelin, Cazorla, Sanchez, Ozil, Welbeck, Giroud.
Akiba: Szczesny, Gabriel, Rosicky, Walcott, Oxlade-Chamberlain, Monreal, Chambers.
Monaco: Subasic, Toure, Wallace Santos, Abdennour, Echiejile, Dirar, Kondogbia, Fabinho, Joao Moutinho, Martial, Berbatov.
Akiba: Stekelenburg, Kurzawa, Matheus Carvalho, Bernardo Silva, Carrasco, Alain Traore, Diallo.
Refa: Deniz Aytekin (Germany)
Nje ya Uwanja wa Arsenal Emirates.Kocha wa Monaco Leonardo JardimKocha wa Arsenal, Arsene Wenger.
No comments:
Post a Comment