Pages

Saturday, January 24, 2015

VIPIGO VYAISHTUA KAGERA SUGAR


Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Mrage Kabange, alisema vipigo walivyopata kutoka kwa Mbeya City Bao 1-0 na Azam FC mabao 3-1, vimewashtua na kufanya waelekeze nguvu zao kuwanoa mabeki ili waweze kuwa imara mbele ya mastraika wa wapinzani wao.

VIPIGO mara mbili mfululizo katika Ligi Kuu Bara vimewashitua makocha wa Kagera Sugar na kuamua kufanya marekebisho ya haraka katika safu yao ya ulinzi kuelekea mechi dhidi ya Ndanda FC itayochezwa kesho jumamosi  kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Mrage Kabange, alisema vipigo walivyopata kutoka kwa Mbeya City mabao 2-0 na Azam FC mabao 3-1, vimewashtua na kufanya waelekeze nguvu zao kuwanoa mabeki ili waweze kuwa imara mbele ya mastraika wa wapinzani wao.
Benchi la Ufundi kwenye moja ya mechi za Kagera katika Uwanja wa CCM Kirumba.

“Safu yetu ya ulinzi iliyumba kidogo katika hizi, hivyo tunaifanyia marekebisho kwa kuipa makali. Ligi inazidi kuwa ngumu tunachokifanya ni kubaini mapungufu na kuyarekebisha kwa haraka, naamini baada ya muda kikosi chetu kitafanya vizuri, kuhakikisha tunarejea kwenye nafasi tatu za juu,” alisema.



MSIMAMO WA LIGI KUU ULIVYO

VODACOM PREMIER LEAGUE
SEASON: 2014-2015

Table

Pos TeamPldWTLGoalsDiffPts
1Azam1062214720
2Mtibwa Sugar945012717
3JKT Ruvu1152411117
4Young Africans943211415
5Polisi Morogoro113629115
6Kagera Sugar113538014
7Coastal Union103439113
8Mgambo JKT104155-413
9Simba92619212
10Ruvu Shooting113355-312
11Mbeya City93244-211
12Stand United112547-611
13Ndanda1131710-610
14Prisons101546-28

No comments:

Post a Comment