Pages

Friday, January 2, 2015

SIMBA YAKUFUNGWA NA MTIBWA SUGAR 1-0 MAPINDUZI CUP

Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha moto misuli kabla ya kukaguliwa na Mgini Rasmin Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo ilioaza leo Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar wakipasha moto misuli kabla ya kukaguliwa na Mgini Rasmin Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo ilioaza leo Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Kamisaa wa Mchezo huo Musin Kamara, wakati wa uzinduzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi yaliozinduliwa leo na Balozi Seif, katika uwanja wa Amaan.    
Makamu wa Pili wa Rais wac Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaan usiku leo,
Makamu wa Pili wa Rais wac Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar,kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaan usiku leo,
Wachezaji wa timu ya Simba wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sugar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaam. Timu ya Mtibwa imeshinda bao 1--0
Kikosi cha Simba kilichokubali kipigo cha Bao moja kwa mara ya pili mchezo wa mwazo na Mtibwa Simba wamefungwa  mabao 4--2, na leo wamekubali tena kuwa wateja wa Mtibwa kwa kufungwa bao 1--0
Kikosi cha  timu ya Mtibwa Sugar kilichotoka kifua mbele dhidi ya ushinda wa Bao 1--0 dhidi ya timu ya Simba wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.













No comments:

Post a Comment