Pages

Friday, January 9, 2015

POLISI YATINGA HATUA YA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA KCC YA UGANDA KWA PENATI 5-4, MAPINDUZI CUP


Wachezaji wa timu ya Polisi wakifurahia ushindi wao dhidi ya timu ya KCC ya Uganda, baada ya kushinda kwa mikwaju ya peneti baada ya mchezo kutoka sare na kupigiana peneti Polisi imeshinda 5 na KCC imepata peneti 4,
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Makame, akiwa na Viongozi wa timu ya Polisi akitowa zawadi kwa wachezaji wa timu ya Polisi kwa ushindi wao akitoa Dola Mia. ikiwa furaha yake kwa kufanikiwa kuingia Nusu Fainali na kucheza na Timu ya Simba.

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Makame akiwa na Viongozi wa timu ya Polisi baada ya kuwakabidhi Dola mia ikiwa ni Asante yake kwa kuweza kufuzu kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi itakutana na Timu ya Simba baada ya kufuzu kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Jangombe.

No comments:

Post a Comment