Pages

Friday, January 9, 2015

MTIBWA SUGAR YAITUPA NJE AZAM KWA PENALTI 7- 6 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP 2015

Vinara wa Ligi Kuu ya soka ya Tanzania Bara, klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 7-6, kufuatia sare ya bao 1-1 katika mechi ya dakika 90.


Kipa Aishi Manula ndie aliyeipeleka timu yake nje baada ya penalti yake kupanguliwa na kipa Said Mohamed wa Mtibwa Sugar, baada ya zile penalti 5 za awali kuisha kwa 4-4 huku kila timu ikikosa penalti moja. Penalti nyingine ya Azam FC ilikoswa na Kipre Tchetche

No comments:

Post a Comment