Pages

Wednesday, January 7, 2015

MWEZI HUU JANUARI- IIKAY GUNDOGAN NJIANI KUTUA OLD TRAFORD.

Ilkay Gundogan njiani kutua Old Trafford akitokea Timu ya Borrusia Dortmund

Mkataba wa Gundogan unakwisha Mwezi Julai na Dortmund hivi sasa wako taabani mkiani mwa Ligi ya Bundesliga na hili limefanya Mastaa wao wengi kufikiria kuhama ikiwa ni pamoja na Marco Reus.

No comments:

Post a Comment