Pages

Saturday, January 24, 2015

MANCHESTER UNITED YABANWA UGENINI NA CAMBRIDGE UNITED NA KUTOKA SARE YA 0-0 KWENYE FA CUP

United Chupuchupu wachapwe na timu Cabridge Uwanjani Abbey.Mapumziko bado ilikuwa 0-0Falcao (katikati) wa United akikatiza katikati ya wachezaji wa Cambridge.Cameron McGeehan na Marouane Fellaini .Mchezaji wa Cambridge Tom Elliottakichuana na Marouane Fellaini mpira wa kichwa katika kipindi cha kwanza.Cambridge-v-Manchester-United
Fuatilia kila dakika katika mtanange huu wa Raundi ya Nne FA CUP kati ya Cambridge-v-Manchester-United usiku huu saa 10:55 
huko Ugenini katika Uwanja wa  Abbey Stadium.
Taswira ya Uwanja wa Abbey punde ambapo Mtanange wa Ufunguzi kati ya Wenyeji Cambridge wakaumana na Timu ya Man United usikuu huu.
VIKOSI KAMILI: KUTOKA UWANJA WA ABBEY 
Cambridge Utd: Dunn, Tait, Nelson, Coulson, Greg Taylor, Hughes, Champion, Donaldson, McGeehan, KaiKai, Elliott.
AKIBA: Ball, Miller, Dunk, Norris, Simpson, Chadwick, Bird.

Manchester Utd: De Gea, Valencia, Jones, Rojo, Blind, Carrick, Fellaini, Januzaj, Di Maria, Wilson, Falcao.
AKIBA: Da Silva, Shaw, van Persie, Ander Herrera, Fletcher, Valdes, McNair.
Mwamuzi: Chris Foy

No comments:

Post a Comment