Pages

Thursday, January 8, 2015

SIMBA YATOA KICHAPO CHA BAO 4-0 KWA TIMU YA TAIFA YA JANG'OMBE MAPINDUZI CUP 2015



Wachezaji wa timu ya Taifa ya Jangombe wakipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

Mgeni rasmin katika mchezo wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi Mhe Omar Othman Makungu, akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Michuano ya Mapinduzi Cup Bi Shery Khamis wakienda kukagua timu kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Robo Fainal kati ya Timu ya Simba na Taifa ya Jangombe.


















No comments:

Post a Comment