Steven Gerrard akiwafungia bao la pili Liverpool kwa frii kii na kuipa ushindi wa bao 2-1 dhidi ya AFC Wimbledon na kusonga mbele hatua ya raundi ya nne ya Kombe hilo la FA Cup 2015. Kukutana na Bolton Wonderers mchezo ujao wakianzia kwao Anfield.
Katika Mechi nyingine ya Raundi ya 3 ya FA CUP iliyochezwa mapema usiku huu, Burnley, ikicheza Nyumbani, ilitoka Sare ya 1-1 na Tottenham Hotspurs.
Timu hizi zitarudiana huko White Hart Lane baadae na Mshindi ataingia Raundi ya 4 na kucheza na Leicester City.
No comments:
Post a Comment