Pages

Thursday, December 11, 2014

UEFA CHAMPIONS: CHELSEA 3 vs 1 SPORTING LISBON


Chelsea wameendelea kutamba tena katika huu mchezo, pale Cesc Fàbregas alipoanza kuifungia Chelsea mapema dakika dakika ya 8 kwa mkwaju wa penati. André Schürrle dakika ya 16 John Obi Mikel dakika ya 56 na kufanya 3 - 1

No comments:

Post a Comment