Pages

Friday, December 19, 2014

RATIBA LIGI KUU ENGLAND JUMAMOSI DEC. 20, 2014. MANCHESTER CITY NA CRYSTAL PALACE, ASTON VILLA vs MAN UNITED. JUMAPILI LIVERPOOL vs ARSENAL NA JUMATATU NI CHELSEA NA STOKE CITY.

Mabingwa Watetezi Manchester City wana nafasi murua kuikamata kileleni Chelsea ikiwa wataifunga Crystal Palace Jumamosi hii.
City ndio watakaoanza Mechi za Wikiendi hii kwa kucheza Mechi ya kwanza kabisa hapo Saa 9 Dakika 45 Uwanjani kwao Etihad na Jioni Saa 12 zitafuata Mechi nyingine 6 za Ligi ikiwemo ile ya Uwanjani Villa Park ambapo Aston Villa wataikaribisha Man United ambao wako Nafasi ya 3. 

Msimamo ulivyo kwa sasa Arsenal wapo nafasi ya 6 na pointi zao 26, Liverpool wametupwa nafasi ya 11 na pointi zao 21.Gerrard said it was important that players didn't hide on the pitch, saying they needed 'men out there'Jumapili Ligi Kuu England itakuwa na Mechi mbili ambapo huko Saint James Park, Wenyeji Newcastle watacheza na Sunderland na huko Anfield ipo Mechi kali kati ya Liverpool na Arsenal.
Jumatatu Usiku ipo Mechi tu wakati Stoke City watakapoikaribisha Chelsea inayoongoza Ligi hivi sasa.

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Jumamosi Desemba 20

15:45 Man City vs Crystal Palace
18:00 Aston Villa vs Man United
18:00 Hull vs Swansea
18:00 QPR vs West Brom
18:00 Southampton vs Everton
18:00 Tottenham vs Burnley
18:00 West Ham vs Leicester 


Jumapili Desemba 21

16:30 Newcastle vs Sunderland
19:00 Liverpool vs Arsenal
Jumatatu Desemba 22
23:00 Stoke vs Chelsea

No comments:

Post a Comment