Andrea
Pirlo, mwenye Miaka 34, ameteuliwa kuwa ndie Mchezaji Bora wa Mwaka
huko Italy na hii ni mara ya 3 mfululizo kutwaa Tuzo hiyo.
Pamoja na Pirlo, Wachezaji wenzake 6 wa Klabu yake Juventus wamejumuika nae kuunda Timu Bora ya Msimu ya Serie A.
Pirlo alitajwa kuwa ndie Mchezaji Bora hapo Jana kwenye Hafla iliyoandaliwa na Chama cha Wanasoka wa Italy.
Kocha Antonio Conte(kulia) akichekelea baada ya kuchaguliwa kocha bora

No comments:
Post a Comment