Pages

Wednesday, December 17, 2014

EUROPA LIGI-DROO RAUNDI YA MTOANO TIMU 32: LIVERPOOL KUWAKARIBISHA BESIKTAS, SPURS v FIORENTINA, EVERTON v YOUNG BOYS!

DROO ya Raundi ya Mtoano ya EUROPA LIGI imefanyika Leo na Liverpool, waliotupwa nje ya UEFA CHAMPIONS LIGI baada ya kumaliza Nafasi ya 3 kwenye Kundi lao, wamepangiwa kucheza na Klabu ya Uturuki Besiktas.
Tottenham na Everton ambazo zilianzia EUROPA LIGI nazo pia zilikuwemo kwenye Droo na Tottenham watacheza na Fiorentina ya Italy wakati Everton wataivaa Young Boys ya Uswisi.
Celtic ya Scotland itacheza na Inter Milan ya Italy.
Pamoja na Liverpool, Klabu nyingine zilizotupwa EUROPA LIGI kutoka UEFA CHAMPIONS LIGI ni Liverpool, Olympiakos, Zenit St Petersburg, Anderlecht, AS Roma, Ajax, Sporting Lisbon na Athletic Bilbao.

DROO YA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 32:
Young Boys v Everton
Torino v Athletic Bilbao
Sevilla v Borussia Monchedgladbach
Wolsfburg v Sporting Lisbon
Ajax v Legia Warsaw
Aalborg v Club Brugge
Anderlecht v Dynamo Moscow
Dnipro v Olympiakos
Trabzonspor v Napoli
Guingamp v Dynamo Kiev
Villarreal v FC Salzburg
AS Roma v Feyernoord
PSV Eindhoven v Zenit St Petersburg
Liverpool v Besiktas
Tottenham v Fiorentina
Celtic v Internazionale

Mechi kuchezwa Februari 19 na Marudiano Februari 26

No comments:

Post a Comment