Mchezaji wa Frankfurt Alexander Meier akishangilia bao lake la mapema dakika ya 5 dhidi ya Borussia Dortmund
Wachezaji wa Frankfurt wakishangilia na kupongezana baada ya kuifunga bao
Frankfurt Haris Seferovic alifanya 2-0 kwenye dakika ya 78 na kuwapoteza zaidi Dortmund kwa kuwasogeza kwenye nafasi mbaya ya mkiani
Ilkay Gundogan wa Dortmund alishindwa kufunga bao hapa wakati anapiga frii kiki
Kipa wa Borussia Dortmund Roman Weidenfeller kichwa chini na akiwa hoi baada ya kushindwa kulinda lango lake vyema na timu yake kusinzia kwa kushindwa kujitetea mbele ya Timu ya Frankfurt.
No comments:
Post a Comment