Mwamuzi akimwesabia Benard Mcociech baada ya kuanguka mara ya tatu na kukubali yaishe na Thomas Mashali kutangazwa bingwa |
Thomas Mashali akikwepa ngumi |
Benard Mcociech akiwa chini baada ya kupokea makonde mazito toka kwa Thomas Mashali |
Mwanamuziki Profesa J akiwaonesha wadau wa ngumi kitu kwenye simu yake kabla mpambano kuanza |
Kamanda Charles Kenyella akiwa amewashika mikono mabondia wote baada ya kumvalisha mkanda bingwa. |
Thomas Mashali akimrushia ngumi ya uso bondia Benard Mcociech |
No comments:
Post a Comment