Pages

Tuesday, September 2, 2014

Hatimaye Chicharito amekamilisha mpango wa kujiunga na Real Madrid kwa mkopo


Hernandez kwasasa ni mshambuliaji wa Real Madrid baada ya United kuthibtisha mchana wa leo
Javier Hernandez amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga kwa mkopo katika klabu ya Real Madrid huku tayari kukiwa na uwezekano mkubwa wa kusalia katika klabu hiyo mpya kwa minajili ya mkataba wa kudumu msimu ujao.
United imetaka kiasi cha pauni milioni £17 endapo wa kusalia Madrid moja kwa moja utafikiwa lakini makubaliano ya kuelekea huko kwa mkopo yamefikiwa ambapo meneja Louis van Gaal atakuwa amepokea kiasi cha pauni milioni £1.5 malipo ya mshambuliaji huyo hana nafasi kwasasa.
United imethibitisha mpango huo kupitia ukurasa wao wa twitter mchana wa leo. 
Thumbs up: Hernandez smiles in the Bernabeu trophy room as he joins Real on loan
Dole: Hernandez akitabasamu ndani ya chumba cha vikombe mbalimbali Bernabeu
Fit to play: Hernandez poses during his Real Madrid medical which he passed on Monday
Yuko sawa kucheza: Hernandez akiwa katika picha wakati wa kupima afya kabla ya kujiunga na Real Madrid
Done deal: The Manchester United striker signs shirts for fans outside the medical centre in Madrid
Mpango umekamilika: Mshambuliaji wa Manchester United akisaini jezi za mashabiki nje ya kituo cha kupima afya huko Madrid
Selfie: Hernandez poses for a fan's selfie as he joins Real Madrid on a season-long loan
Picha za kujipiga: Hernandez akichukua fursa kupiga picha na mashabiki

No comments:

Post a Comment