NYOTA HAWA WA REAL MADRID ZAMANI WATAIWEZA TANZANIA STARS? KUMALIZA UBISHI LEO
Mratibu
ziara ya Real Madrid Denis Ssebo akiongea na waandishi wa habari juu ya
ziara ya Magwiji wa Real Madrid ambao watacheza mchezo wa kirafiki na
wachezaji wa zamani nyota wa Tanzania mchezo ambao utapigwa uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam hapo kesho. kulia kabisa ni Christian
Carembeu, Luis Figo katikati na Fernando Sanz Duran wapili kutoka
kushoto.
Kocha Jamhuri Kihwelu wa Tanzania Eleven akiongea mbele ya waandishi wa habari juu ya maandalizi ya kikosi chake
Christian Sanz naye alipata nafasi ya kuongea na wanahabari
Christian Carembeu katikati naye alipata nafasi ya kuongea na wanahabari.
No comments:
Post a Comment