Pages
▼
Sunday, August 10, 2014
LIVERPOOL 4 - 0 DORTMUND
Daniel Sturridge akicheza muziki kama kawaida yake baada ya kufunga bao lake katika dakika ya 10 dhidi ya Borussia Dortmund
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers akisalimiana na kocha Jurgen Klopp kabla ya mtanange kuanza
Glen Johnson akimtawanya mchezaji wa Borussia Dortmund Patrick Aubameyang
Sturridge alifunga bao na kufanya 1-0 dhidi ya Dortmund ndani ya dakika 10 tuu
Dejan Lovren akifunga bao lake
Henrikh Mkhitaryan akichuana vikali na Jordan Henderson juu kwa juu ili amtoe mpira
Martin Skrtel na Jordan Henderson wakifurahia ushindi
Lukas Piszczek akigombea mpira na Raheem SterlingKocha wa Liverpool Brendan Rodgers
VIKOSI VILIVYOKUWA:
Liverpool: Mignolet; Manquillo (Kelly 85'), Johnson (Enrique 61'), Skrtel, Lovren; Gerrard, Can (Lucas 46'), Henderson (Allen 80'), Sterling, Coutinho (Ibe 72'); Sturridge (Lambert 76').
Subs (not used): Jones, Toure, Sakho, Coates, Suso
Goals: Sturridge 10' Lovren 14' Coutinho 49' Henderson 61'
Borussia Dortmund: Langerak; Piszczek (Großkreutz 58'), Sokratis (Knystock 81'), Ginter, Schmelzer (Sarr 81'); Kehl (Bender 46'), Kirch (Immobile 46'), Mkhitaryan (Ji 64'), Aubameyang (Bandowski 76'), Jojic (Amini 77'); Ramos (Hofmann 46')
Subs (not used): Bonmann, Subotic
No comments:
Post a Comment