Wachezaji wa Arsenal wakishangilia baada ya kupata bao
Santi
Cazzorla ndie aliyeanza kuwafungulia lango Arsenal katika dakika ya 22
kipindi cha kwanza baada ya kulishwa mpira na Jack Wilshere na kufunga
bao la kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya City.
Bao
la pili lilifungwa na Aaron Ramsey katika dakika ya 42 baada ya Mabeki
wa Manchester City kufanya Uzembe wa Ukabaji na hatimae Aaron Ramsey
kufunga bao hilo akipewa pasi na Yaya Sanogo. AlexisKocha wa Man City hoi katika kipindi cha kwanza, Anapumua kwa shida!! 2-0 alifungwa katika kipindi cha kwanza..3-0 Arsenal wanapata bao kupitia kwa mchezaji wake Olivier Giroud katika kipindi cha pili.
No comments:
Post a Comment