Pages

Wednesday, August 27, 2014

HATIMAYE SUPER MARIO BALOTELLI AKABIDHIWA JEZI NAMBA 45 ANFIELD. PICHA MBALIMBALI ZA BALOTELLI HIZI HAPA


Mario Balotelli amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na LIverpool kwa pauni milioni £16 akitokea AC Milan kwa mkataba wa miaka mitatu.
mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amewasili Melwood mchana wa leo kumalizia mambo ya mwisho mwisho ya uhamisho huo kabla ya kufanya kuangaliwa afya yake na mtaalamu wa mambo ya utabibu wa LIverpool Ryland Morgans.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester City atakuwa akilipwa kwa wiki kiasi cha pauni £125,000 ndani ya uga wa Anfield, na anatarajiwa kuhudhuria mchezo wa usiku huu kati timu yake dhidi ya klabu yake ya zamani ya Manchester City
History makers: Italian striker Balotelli poses with the European Cup, which Liverpool have won five times, most recently in 2005
History imewekwa: Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Balotelli akiweka pozi mbele ya kikombe cha Ulaya ambacho Liverpool imetwaa mara tano huku mara ya mwisho ikiwa ni 2005
Ready for business: The 24-year-old arrived at Melwood on Monday afternoon to put the finishing touches to the transfer
Tayari kwa biashara: Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amewasili Melwood
Signing up: Balotelli returns to England after an 18-month absence having scored 30 goals with AC Milan
Balotelli amerejea England baada ya miezi 18 kupita akiifungia AC Milan mabao 30
Raring to go: Balotelli poses in the boot room at Melwood, and will be in attendance for Liverpool's clash with Manchester City on Monday
'A great team with young players': Balotelli, who left Manchester City in 2013, said Liverpool are one of the best teams in England

No comments:

Post a Comment