Pages

Thursday, August 28, 2014

Artudo Vidal sasa kwenye rada ya Manchester United


Bosi wa Manchester United Louis van Gaal na mtendaji mkuu wa klabu hiyo Ed Woodward wametangaza kuwa kiungo Arturo Vidal ndiye mlengwa mkubwa kwao katika harakati za kuimarisha kikosi cha klabu hiyo baada ya kufanyika kwa usajili wa Angel di Maria hapo jana.
United imekuwa ikikanusha juu ya kumtaka Vidal kipindi chote cha usajili cha kiangazi lakini pia wakionekana wakihaha kusaka mazungumzo ya kumsajili nyota mwingine wa Ajax kwa ajili ya nyota Daley Blind.

Press: Tuttosport report that although Juventus do not want to let him go to United, Vidal talks are ongoing
Magazeti: Tuttosport limearifu kuwa ingawa Juventus hawako tayari kumuacha aelekee United, mazungumzo ya Vidal yamekuwa yakiendelea
Expensive taste: Vidal (right) carries a £30million price tag from the Serie A giants
Jaribio la gharama: Vidal (kulia) akiwa katika thamani ya pauni £30

No comments:

Post a Comment